Mwanamke anaye kuja kasi katika Tansinia ya Film nchini akitokea pande za Ngon Land katika dimbwi la vipaji hapa nazungumzia Mkoani Ruvuma. Mwana mama huyu anaye julikana kwa jina la Veronica Gayo aka Veronica Mwana wa Gayo. Kwa sasa ameachia Filam yake inayo fahamika kwa jina la URITHI WA AJABU ni filamu inayo fanya vizuri mpaka sasa mkoani Ruvuma na kila anaye parta bahati ya kuitizama ana baki kinywa wazi kwa kuto amini uwezo ario uonyesha humo ndani.
1.
URITHI WA AJABU POSSTAZ
Kwa kile kilicho igizwa ndani kimekwenda kuakisi maisha ya watu fulani ambao wanaamini kati imani ya kishilikina hususani Uchawi. kwa habari za chini chini nikwamba wale walio hisi wameigizwa wao walianza kuinama na kuona sasa wamejulikani.
Hapa utaona jinsi wasanii wa Mkoa wa Ruvuma walivyo jipinda kuakikisha Ujumbe unafika swadacta kwa jamii husika.
2
VERONICA GAYO AKIWA NA CD ZA URITHI WA AJABU
"Kwa sasa nimeamua kujikita kwenye Tansinia ya Filamu watu wategemee vitu vizuri zaidi kutoka kwangu kwakua nina amini kuwa nina kipaji na nina mwamini Mwalimu wangu wasanaa anaye kuza kipaji changu Mathayo Mzalendo. Pia nimeona wanawake wengi wako nyuima kujikita katika huu upande lakini nina waambia mwaka huhu 50/50 na wanaume. namungu atanilinda"
3
HAMZA KASSIM AKA DOGO H & VERONICA GAYO
4
MRIAMU CHABWELA & DYNES KADOPE WAKIMPA SAPOT MSANII MWENZAO KWA KUNUNUA COPY
5
NURDIN ASEDY NAYE ALIMMUNGISHA MSANII MWENZAKE CD
6
7
MR NAYUNGI & VERONICA GAYO WAKIZUNGUSHA CD MTAANI.
Wangoni sasa tumeamua kutangaza kazi zetu wenyewe sasa ni nyumba kwa nyumba mpaka wajue.
NB:
Imefika hatua sasa wakazi wa Ruvuma tuwe wazalendo kwa kununua kazi za nyumbani ili kutengeza hajira za watu walio kata tamaa. Huu ni mwanzo wa kuinua sanaa ya mkoa wa Ruvum.By Mathay Mzalendo
KAMA UNA MAONI NA USHAURI COMENT HAPO CHINI TAPHARI
No comments:
Post a Comment